JechaLeo sijatumwa na mtu wala nini , nimeona mjadala unaendelea kuhusu Rapper Bora wa Muda wote …Mfano watu kama Kalidjo Kitokololo , Msafiri Diof ni marapa wazuri ila hawafanyi Hip Hop 1. Lyricism3 min read·May 10, 2020----
JechaNimeulizwa na ndugu @Tanganyikan , Maoni yangu juu ya yanayoendelea katika tasniaKwanza Naomba niweke wazi , mimi sio mwandishi mzuri hivyo mniwie radhi kwa makosa yatakayojitokeza Pili , naomba ku declare interest…2 min read·May 8, 2020----
JechaChid Benzi anatushangaa tunavyomshangaaNa Edo Kumwembe , December 30th 2016 NI zaidi ya kujikuta juu ya kitanda na msichana unayempenda kuliko wote duniani. Ni zaidi ya kutazama…3 min read·Dec 30, 2019----