Mafanikio ni matokeo ya maandalizi, kufanya kazi kwa bidii, pamoja na kujifunza baada ya kufeli
Sio hayo tu... 👇
Mafanikio ni matokeo ya nidhamu ya hali ya juu, bila nidhamu ya muda wako, pesa zako au marafiki na mengineyo ni ngumu sana kufanikiwa.. 👇
Mafanikio ni matokeo ya kujiwekea mistari, ambapo…