MAISHA YANGU:

  • Kila binadamu anakitu ambacho huwa akikaa.anakifikilia sana. Kipindi naanza kuandika makala hii nifikilia sana nilipotoka haikuwa rahisi sana kufika nilipo Leo nakumbuka ilinilazimu kusafili umbali wa kilomita zaidi ya 60 Kila siku kwenda na kurudi kutoka shule siku choka lakini kuna muda nilikosa nauli lakini pia sikukatamaa bibi yangu Joyce kazibure alikuwa ndio nguzo yangu kumbwa alikuwa akinishauri Mara kwa Mara nakuniambia ninayopitia ni moja kati ya mapito sikujua niendapo nakumbuka kunawakati nilikatamaa kabisa ya kuendelea na masomo lakini mungu alikuwa upande wangu na kunipa nguvu ya kuanza upya

Itaendelea