Photo credits: The star

WANASIASA HASIMU WAPIGA KURA PAMOJA KAJIADO

Gavana, Kajiado na mwakilishi wa wadi, Bw. Daniel Kanchori walipiga kura katika shule ya msingi ya Kitengela Boarding walikosomea.

Jeremiah Kipainoi
Aug 8, 2017 · 1 min read

Majirani hawa walipiga kura asubuhi kisha kuondoka.

Hii hapa sauti ya Dkt. Nkedienye akizungumza nami baada ya kupiga kura.


Bw. Kanchori hagombei tena kiti cha mwakilishi wa wadi mwaka huu. Alitangaza msimamo huo baada ya kutofaulu katika uchaguzi mdogo wa mchujo katika chama cha Jubilee.

Nilimwuliza anipe taswira ya jukumu hilo. Hii hapa sauti yake.

Vituo mashinani tiari vinaanza kuhesabu kura wakati wowote kutoka sasa.

Welcome to a place where words matter. On Medium, smart voices and original ideas take center stage - with no ads in sight. Watch
Follow all the topics you care about, and we’ll deliver the best stories for you to your homepage and inbox. Explore
Get unlimited access to the best stories on Medium — and support writers while you’re at it. Just $5/month. Upgrade