IAuthor I Biography I Autobiography I Book Lover I Babatian I BodyInTz ♡InTanganyika
Awali ya yote napenda sana kumshukuru Allah (S.W) kwa kuendelea kunijaalia rehma zake na nitaendelea kumshukuru kusema la ukweli. Kama ambavyo nimekuwa nikifanya kwa kipindi cha miaka minne iliyopita kuonesha idadi ya vitabu “vilivyonijenga” hilo neno nimelikopa kutoka kwa Michael Dalali @michaeldalali kama alivyotumia wakati anaweka orodha ya vitabu…