2021 iliashiria mwanzo mpya wa nchi ya Tanzania wakati Benki Kuu ya Tanzania ilitangaza itatekeleza maagizo ya Rais Samia Suluhu ya kujiandaa kwa utumizi wa sarafu ya cryptocurrency, hii iliashiria ubadilishaji wa marufuku ya cryptocurrency ambayo ilikuwa imewekwa mnamo 2019. Tanzania cbank says it is working on president's cryptocurrency push
DAR ES SALAAM, June 25 (Reuters) - Tanzania's central bank has said it is working on President Samia Suluhu Hassan's…www.reuters.com