Adhuhuri ilianza vyema tukiwa bado tupo sote kitandani, mimi na Sophia. Ilhali tulilala kwa shari baada ya malumbano makali jioni…